HEBU msomaji cheki jinsi wenzetu wa Ulaya wanavyofanya mambo yao ya kiufundi kistaili!

Jumatano, 7 Agosti 2013

HABARI KWANZA:Kajara masanja na wema sepetu wamekwenda kumtembelea papi kocha nakutoa machozi katika gereza la ukonga jijini daresalaam kwa mujibu wa chanzo chetu mara baada ya mastar hao kufika na kuonana na papi kocha ambaya anatumikiaa kifungo cha maisha sambamba na babake Nguza Viking'Babu seya' inadaiwa papi aliangua kilio cha nguvu.Sasa nimeamini kweli kajara amejifunza mengi kutoka mahabusu

HABARI KWANZA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni