HEBU msomaji cheki jinsi wenzetu wa Ulaya
wanavyofanya mambo yao ya kiufundi kistaili!
Jumapili, 25 Agosti 2013
DEREVA WA ISUZU CARRY APEWA KICHAPO KUTOKA KWA ABIRIA BAADA YA KUSABABISHA AJALI...
Dereve
wa Isuzu Carry akiwa amepasuka eneo la kichwa baada ya abiria
kumshushia kipigo, wakati ilipotokea ajali baina ya Basi la Abiria la
ZAM ZAM linalofanya route ya Ruangwa – Dar es salaam na Isuzu Carry Eneo
la Mnazi Mmoja Mjini Lindi
Abiria
wakiwa wameshuka na Kuja Kumchomoa Dereva wa Isuzu carry Na kuanza
kumpa kichapo Hadi pale Mpashaji wa Habari hii alipowaambia kuwa waache
kumpiga la sivyo atawachukulia hatua za kisheria huku akionekana
kuwapiga picha, hiyo ikawa nafuu kwa Dereva huyo kuacha kupokea kipigo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni