HEBU msomaji cheki jinsi wenzetu wa Ulaya
wanavyofanya mambo yao ya kiufundi kistaili!
Ijumaa, 6 Septemba 2013
NAJUA HIZI PICHA 6 ZA VURUGU BUNGENI HUJAZIONA,FUNGUA UONE MADUDU YA WABUNGE HAWA Hizi ni badhi tu ya picha za songombingo lililotokea jana ndani ya ukumbi wa bunge.Wabunge wa CHADEMA walipopambana na polisi na kisha kudhibitiwa vilivyo. Picha moja inaonesha Mh.Mbatia akishangaa utoto,upuuzi unaondelea kati ya wabunge wa CHADEMA na Polisi. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni