HEBU msomaji cheki jinsi wenzetu wa Ulaya wanavyofanya mambo yao ya kiufundi kistaili!

Jumatano, 6 Novemba 2013

TAARIFA MBAYA MFANYAKAZI WA TBC APIGWA RISASI NA KUUAWA MAENEO YA UBUNGO


Mfanyakazi wa Shirika la Utangazaji Nchini  TBC, pichani,RAMADHAN GIZE ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wanaosaidiwa kuwa ni majambazi usiku wa kuamkia leo katika eneo la UBUNGO Maziwa Jijini DSM.

Tukio hilo limetokea baada ya watu hao kuvamia duka moja katika eneo hilo la UBUNGO MAZIWA kwa lengo la kupora, ambapo mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la MWARAMI RAJABU amejeruhiwa kwa kupigwa risasi na watu hao wanaosaidiwa kuwa majambazi.
Chanzo: bakari blog

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni